kwanini Tanzania lakini ?? 🤏

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
Tunahitaji Tech Journalists wengi Tanzania.

Technojia inazidi kukua na hatuna watu wa kutosha kuelewesha jamii juu ya masuala ya Teknolojia. Elimu hii inahitajika sana.

Kama tulivyo na sports, Medical, entertainment, fashion, political etc.

Jamii inahitaji hii Elimu sana au wewe mdau unasemaje tuachie maoni yako ?



#TechNews #Elimu #TCRA #tanzania
 
Mkuu unamaanisha kwamba unatoa scholarship kwa anaehitaji io kitu au sijakusoma?
 
Nakubaliana nawewe kwa 100%.

Watanzania wenzetu wengi wameachwa nyuma sana na Technology,

Technology zingine zimekuwa ni za muda kidogo, but still watu hata kuziskia tu bado.

Ni vyema tukawa na darasa public lenye kuzungumzia technology zenye manufaa kwa mtu binafsi na Taifa letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…