Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yap ni kweli muda mchache muendelezo wao ukoje baada ya hapo
kwa muhindi ukipeleka vyeti vyako hata useme ulikua wa kwanza tangu chekechea mshahara laki mbili tu
mtaa ndio chuo kikuu
Hiyo ni kweli kabisa mkuu...muhindi haangalii cheti anaangalia ujuzi wa mtu.
ndio maana watu wengi tunaishi nje ya malengo tuliojiwekea life is not fair
mkuu kumbe wahindi hawana salary scale?? loh..
kua uyaone
Watoto wakiwa shuleni wanadanganyana mengi Sana....
kweli ngoja akue ayaone....
wakiambiwa ukweli wanafikiri masikhara au utani bora akue ayaone tu
Kuna kijana aliteseka na ma PCM yake akapiga computer science now anasaga lami mtaani kila siku kunisumbua nimpe connection serikalini wakati hali imechafuka siku hizi...
Nawapongeza kuwa na higher expectations inawapa courage but ukija kwenye real life ni stress tupu....
Majanga Majanga mtaani ni nomaaa unakimbizwa na makanjanja div 5:
muhindi ana milioni zake mia hajui chochote kuhusu utalii anafungua kampuni ya kitalii wabongo mnamtumikia kwa laki mpaka unazeeka
Wakuu naombeni kujuzwa waliofaulu vizuri form iv huwa wanaendelea kukimbiza vidato vinavyofuata? Alie na hizo data aweke hapa.