Kwanini Tanzania(TPDC ) wasijenge refinery ya mafuta?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Nini kinatuzuia kujenga refinery ya mafuta? Kwa haraka haraka nimesearch. Kujenga refinery ya mapipa laki moja kwa siku ni dola 1.5 bilioni. Tanzania tunatumia mapipa 70,000 elfu kwa siku. Gharama ya kununua, kusafirisha na kurefine lita moja ya mafuta ni kama Tsh 1900. Na hayo ni mafuta ya kiwango cha juu kabisa.

Tunaweza kujenga hata kubwa na kuwauzia mafuta majirani zetu wengi wasio na bandari. Tanzania ni moja ya nchi chache sana zilizokaa sehemu ambayo zinaweza kujiendesha kwa biasahara ya mafuta licha ya kutoyachimba. Pia humo tutapata na lami na malighafi za kutengenezea plastiki.

Kwa nini hatujengi refinery ya mafuta? mbona "TPDC" za wenzetu ni mashirika makubwa sana yanayotegemewa na nchi zao, tunakwama wapi?
 
Wazee enzi za Mwalimu waliona umuhimu huo,ila baada ya hapo wakakata roho ya refeinery na kuuziana kuhakikisha inakata roho na haipatikani tena, tena,ila mbona hujauliza wameshindwa je kutengeneza vituo vya gesi asilia/CNG hadi sasa TZ vipo vituo viwili tu, 🤔.

Ilhali tunavuna gesi hiyo nyumbani kwetu hapo uchingani/Ntwara kwa wala samaki nchanga.🤔Badala ya kuifaidi sisi wanaofaidi Wakenya, wachina na wengine 🤔
 
Tasania ya fiwanda haiamini katika fiwanda boss, Tasania inaamini kuchukua msigo na kuuza basii.
 
Hivi tipper ilikuwa ikifanya nini ? Na Nani aliamua kiache kufanya hiyo shughuli
Welcome to Tiper Tanzania

55 Years of Experience​

Born out of the ancient AGIP Refinery and originally built in 1966, TIPER is now a vast storage terminal for petroleum products. After the closure of the refinery in 2000, the storage facility that remained underwent major rehabilitation and improvement.

Mkapa aliiua TIPER
 
Nini kinatuzuia kujenga refinery ya mafuta? Kwa haraka haraka nimesearch. Kujenga refinery ya mapipa laki moja kwa siku ni dola 1.5 bilioni. Tanzania tunatumia mapipa 70,000 elfu kwa siku. Gharama ya kununua, kusafirisha na kurefine lita moja ya mafuta ni kama Tsh 1900. Na hayo ni mafuta ya kiwango cha juu kabisa.

Tunaweza kujenga hata kubwa na kuwauzia mafuta majirani zetu wengi wasio na bandari. Tanzania ni moja ya nchi chache sana zilizokaa sehemu ambayo zinaweza kujiendesha kwa biasahara ya mafuta licha ya kutoyachimba. Pia humo tutapata na lami na malighafi za kutengenezea plastiki.

Kwa nini hatujengi refinery ya mafuta? mbona "TPDC" za wenzetu ni mashirika makubwa sana yanayotegemewa na nchi zao, tunakwama wapi?
Ukiwaambia hivyo watakwambia haiwezekani.
Kumbe lengo ni wafanye ukuwadi... Wageni wapewe tenda watafune 10%!!
 
Hao ni wajinga wajinga fulani, labda sasa mama atawabadilisha. Dar tulikuwa na refinery ndogo,pale Kigamboni (TIPER) ikafa hivi hivi tunaiona, ilikuwa inatutosha mafuta yetu na ya Zambia.

Licha ya hiyo, wakati wa Kikwete mkataba ukawa tayari wa kujenga bonge la refinery la kisasa Kisiju, la kuchakata mafuta na kuchakata Gas, hilo lilikuwa liwe ni mji wa kipekee kwa ajili ya mafuta na Gas. Akaja yule fala kutoka kanda ya ziwa akauzima u;le mradi. Jinga sana lile. Jionee:

kujenga $ 6 Bil. Usafishaji wa Mafuta Dar​

Muungano wa mataifa manne hivi karibuni utaanza ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha hali ya juu jijini Dar es Salaam na bomba la mafuta kutoka mjini hadi Mwanza na Kigoma. Mradi huo utakuwa uwekezaji mkubwa zaidi na kiwanda kikubwa zaidi cha kusafisha mafuta katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.

Kwa mujibu wa Rais wa Kampuni ya Noor Oil and Industrial Technology Consortim (NOITC), Bi Minoo Davar, muungano huo unaohusisha kampuni za Tanzania, Urusi, Qatar na Ujerumani, umefanikiwa kupata ufadhili wa awali wa dola bilioni sita za Marekani kwa ajili ya mradi huo.

Alisema katika mazingira ya sasa ya kiuchumi kupata ufadhili mkubwa wa mradi wa takriban dola bilioni 6 za Marekani "ni wazi ni changamoto kubwa sana".

Kiwanda hicho cha kusafisha mafuta kitakuwa na uwezo wa kuzalisha mapipa 200,000 kwa siku, jambo ambalo Bi Davar alisema litasababisha kushuka kwa bei ya mafuta nchini humo. Itatumia mafuta ghafi kutoka Saudi Arabia, Iraq, Iran na nchi nyingine za Mashariki ya Kati. Vyanzo vya mafuta ghafi vitategemea ukaribu.

Davar aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuwa muungano huo umepata ardhi katika eneo la Kisiju wilayani Mkuranga kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta ambapo watu 5,000 wanatarajiwa kuajiriwa katika kipindi cha ujenzi huku nafasi 2,000 za ajira zikipatikana baada ya kukamilika kwake.

Washauri wamekamilisha ugawaji wa ardhi iliyotengwa huko Kisiju ambapo tathmini ya athari za mazingira inaendelea kwa sasa.

"Pia tunaendelea na awamu ya pili na ya mwisho ya upatikanaji wa ardhi," alisema.

Ugavi wa hisa za mafuta ghafi kwa ajili ya kusafisha na mikataba mingine muhimu na kubuni, uhandisi, teknolojia, wauzaji wa mimea na vifaa kwa ajili ya kusafisha na bomba zimelindwa na viongozi wa kimataifa wa viwanda vya mafuta na gesi, alisema.

Serikali ina asilimia 10 ya hisa katika kiwanda cha kusafisha mafuta na asilimia 5 ya hisa katika bomba la mafuta. Mara baada ya kufanya kazi, kampuni hiyo itapatikana na msamaha wa ushuru wa miaka 15.

Majadiliano yanaendelea na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania juu ya njia za ujenzi wa bomba la mafuta kutoka kwa kiwanda cha kusafisha hadi mikoa miwili ya kaskazini magharibi mwa Ziwa.

"Tumefanikiwa sana katika kukabiliana na hali mbaya ya uchumi wa dunia na kupata ahadi za ufadhili kwa miradi ya kusafisha na bomba ambayo italeta faida kubwa za kiuchumi na miundombinu kwa muda mrefu kwa Tanzania na majirani zake," alisema Davar.

Chanzo: https://www.skyscrapercity.com/threads/tanzania-to-build-a-6-bil-oil-refinery-in-dar.1129719/
https://www.skyscrapercity.com/thre...il-oil-refinery-in-dar.1129719/post-179619741

Tanzania adui yetu mkuu ni ujinga anaefatia ni roho mbaya.
 
Wazee enzi za Mwalimu waliona umuhimu huo,ila baada ya hapo wakakata roho ya refeinery na kuuziana kuhakikisha inakata roho na haipatikani tena, tena,ila mbona hujauliza wameshindwa je kutengeneza vituo vya gesi asilia/CNG hadi sasa TZ vipo vituo viwili tu, 🤔.Ilhali tunavuna gesi hiyo nyumbani kwetu hapo uchingani/Ntwara kwa wala samaki nchanga.🤔Badala ya kuifaidi sisi wanaofaidi Wakenya, wachina na wengine 🤔
Kuendesha vizuri hii nchi ni rahisi sana,hatuna tu viongozi wenye akili,gas nasikia tunayo nyingi sana
 
Hao ni wajinga wajinga fulani, labda sasa mama atawabadilisha. Dar tulikuwa na refinery ndogo,pale Kigamboni (TIPER) ikafa hivi hivi tunaiona, ilikuwa inatutosha mafuta yetu na ya Zambia.

Licha ya hiyo, wakati wa Kikwete mkataba ukawa tayari wa kujenga bonge la refinery la kisasa Kisiju, la kuchakata mafuta na kuchakata Gas, hilo lilikuwa liwe ni mji wa kipekee kwa ajili ya mafuta na Gas. Akaja yule fala kutoka kanda ya ziwa akauzima u;le mradi. Jinga sana lile. Jionee:

kujenga $ 6 Bil. Usafishaji wa Mafuta Dar​

Muungano wa mataifa manne hivi karibuni utaanza ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha hali ya juu jijini Dar es Salaam na bomba la mafuta kutoka mjini hadi Mwanza na Kigoma. Mradi huo utakuwa uwekezaji mkubwa zaidi na kiwanda kikubwa zaidi cha kusafisha mafuta katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.

Kwa mujibu wa Rais wa Kampuni ya Noor Oil and Industrial Technology Consortim (NOITC), Bi Minoo Davar, muungano huo unaohusisha kampuni za Tanzania, Urusi, Qatar na Ujerumani, umefanikiwa kupata ufadhili wa awali wa dola bilioni sita za Marekani kwa ajili ya mradi huo.

Alisema katika mazingira ya sasa ya kiuchumi kupata ufadhili mkubwa wa mradi wa takriban dola bilioni 6 za Marekani "ni wazi ni changamoto kubwa sana".

Kiwanda hicho cha kusafisha mafuta kitakuwa na uwezo wa kuzalisha mapipa 200,000 kwa siku, jambo ambalo Bi Davar alisema litasababisha kushuka kwa bei ya mafuta nchini humo. Itatumia mafuta ghafi kutoka Saudi Arabia, Iraq, Iran na nchi nyingine za Mashariki ya Kati. Vyanzo vya mafuta ghafi vitategemea ukaribu.

Davar aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuwa muungano huo umepata ardhi katika eneo la Kisiju wilayani Mkuranga kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta ambapo watu 5,000 wanatarajiwa kuajiriwa katika kipindi cha ujenzi huku nafasi 2,000 za ajira zikipatikana baada ya kukamilika kwake.

Washauri wamekamilisha ugawaji wa ardhi iliyotengwa huko Kisiju ambapo tathmini ya athari za mazingira inaendelea kwa sasa.

"Pia tunaendelea na awamu ya pili na ya mwisho ya upatikanaji wa ardhi," alisema.

Ugavi wa hisa za mafuta ghafi kwa ajili ya kusafisha na mikataba mingine muhimu na kubuni, uhandisi, teknolojia, wauzaji wa mimea na vifaa kwa ajili ya kusafisha na bomba zimelindwa na viongozi wa kimataifa wa viwanda vya mafuta na gesi, alisema.

Serikali ina asilimia 10 ya hisa katika kiwanda cha kusafisha mafuta na asilimia 5 ya hisa katika bomba la mafuta. Mara baada ya kufanya kazi, kampuni hiyo itapatikana na msamaha wa ushuru wa miaka 15.

Majadiliano yanaendelea na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania juu ya njia za ujenzi wa bomba la mafuta kutoka kwa kiwanda cha kusafisha hadi mikoa miwili ya kaskazini magharibi mwa Ziwa.

"Tumefanikiwa sana katika kukabiliana na hali mbaya ya uchumi wa dunia na kupata ahadi za ufadhili kwa miradi ya kusafisha na bomba ambayo italeta faida kubwa za kiuchumi na miundombinu kwa muda mrefu kwa Tanzania na majirani zake," alisema Davar.

Chanzo: https://www.skyscrapercity.com/threads/tanzania-to-build-a-6-bil-oil-refinery-in-dar.1129719/
https://www.skyscrapercity.com/thre...il-oil-refinery-in-dar.1129719/post-179619741

Tanzania adui yetu mkuu ni ujinga anaefatia ni roho mbaya.
Siku zote huwa nakwambia ukimaliza yale mambo utulie kwanza...
 
Changamoto iliyopo ni kwa walio madarakani kuwa na fikra za uono mfupi wa faida ndogo za leo leo (udalali), ikimaanisha hatuwezi, lazima wageni wafanye. Kwa fikra kama hizo, hakuwezi kuwepo maendeleo endelevu.
Lazima tujenge uwezo wa ndani kwa kuwezesha watu wetu kufanya miradi wenyewe. Haikubaliki na siyo sawa baada ya miaka 60 ya uhuru tunajisifu kutoa kandarasi za kujenga barabara za vijijini kwa wachina, halafu tunajisifu ni maendeleo.
Kuita hayo ni maendeleo ni zaidi ya upumbavu. Kwa China ni mendeleo, kwetu siyo, tumeendeleza China.
Sasa nini kifanyike;
Turuhusu na kuwasaidia wananchi wote wanaofanya ubunifu katika teknolojia ya uzalishaji.
Taasisi za usalama zitumike katika kujifunza na kunakili taratibu za uzalishaji bidhaa, utoaji huduma kwa wawekezaji wa kigeni na baada ya muda wageni wawekewe mizengwe washindwe soko waondoke , halafu wazawa waendeleze nchi. Hili ni rahisi sana kwa zama hizi za sayansi na teknolojia.
Tuachane na matumizi ya nguvu nyingi kwa intelejensia ya kudhibiti wanasiasa badala yake nguvu za taasisi za usalama kisheria zielekezwe kwenye uchumi dhidi ya mataifa ya nje. Taarifa za kiintelijensia ziwe za sayansi ya faida halisi kwa kutumia wanasayansi wa kweli badala ya majungu na umbea wa kisiasa.
 
Nini kinatuzuia kujenga refinery ya mafuta? Kwa haraka haraka nimesearch. Kujenga refinery ya mapipa laki moja kwa siku ni dola 1.5 bilioni. Tanzania tunatumia mapipa 70,000 elfu kwa siku. Gharama ya kununua, kusafirisha na kurefine lita moja ya mafuta ni kama Tsh 1900. Na hayo ni mafuta ya kiwango cha juu kabisa.

Tunaweza kujenga hata kubwa na kuwauzia mafuta majirani zetu wengi wasio na bandari. Tanzania ni moja ya nchi chache sana zilizokaa sehemu ambayo zinaweza kujiendesha kwa biasahara ya mafuta licha ya kutoyachimba. Pia humo tutapata na lami na malighafi za kutengenezea plastiki.

Kwa nini hatujengi refinery ya mafuta? mbona "TPDC" za wenzetu ni mashirika makubwa sana yanayotegemewa na nchi zao, tunakwama wapi?
Labda Magufuli afufuke
 
Tungetegemea mradi kama huo kwa mtu kama magufuli sio huyu muuza nchi yetu. Tungekua na refinery tungeweza kuagiza crude kwa bei ya chini kutoka urusi wakati huu na kujitosheleza na kuwauzia majirani. Tulizugwa tukafunga kiwanda chetu kisha kugeuzwa wateja tu.
 
Wazee enzi za Mwalimu waliona umuhimu huo,ila baada ya hapo wakakata roho ya refeinery na kuuziana kuhakikisha inakata roho na haipatikani tena, tena,ila mbona hujauliza wameshindwa je kutengeneza vituo vya gesi asilia/CNG hadi sasa TZ vipo vituo viwili tu, 🤔.

Ilhali tunavuna gesi hiyo nyumbani kwetu hapo uchingani/Ntwara kwa wala samaki nchanga.🤔Badala ya kuifaidi sisi wanaofaidi Wakenya, wachina na wengine 🤔
Hii ni laana ya uvamizi kwa Zanzibar , Karma inaendelea kuwatesa. Zanzibar walitaka kujenga Refinery wakati wa Nyerere , akakataa kata kata eti refinery ipo Dar matokeo yake Mungu ametulipia sasa mumekuwa kama sisi huku Zanzibar . Sote hatuna kitu

Muungano huu ni Laana
 
Back
Top Bottom