Kwanini Tanzania tunahitaji mkalimani wa Kingereza?

Kwanini Tanzania tunahitaji mkalimani wa Kingereza?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kingereza kinafundishwa kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuu, kwanini watanzania watafasiliwe Kiingereza kwenye mikutano yetu na wageni? Hii ni aibu kubwa kwa taifa, elimu yetu na hata Chama tawala.

Chukua hatua kuiondoa aibu hii nzito.
 
Kiingereza kinafundishwa kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuu, kwanini watanzania watafasiliwe Kiingereza kwenye mikutano yetu na wageni? Hii ni aibu kubwa kwa taifa, elimu yetu na hata Chama tawala.

Chukua hatua kuiondoa aibu hii nzito.
Mkarimani = mkalimani, watafasiliwe = watafsiriwe... kajifunze kwanza kiswahili ndo uje ulete hoja yako.
 
Mwandishi hujajua bado kuandika halafu unauliza mkalimani wa nini?
 
Kiingereza kinafundishwa kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuu, kwanini watanzania watafasiliwe Kiingereza kwenye mikutano yetu na wageni? Hii ni aibu kubwa kwa taifa, elimu yetu na hata Chama tawala.

Chukua hatua kuiondoa aibu hii nzito.

Kwa Tanzania hata waliosoma, kiingereza cha kuongea ni kinyaa. Watanzania tunapenda kiingereza, lakini kiingereza hakitutaki.
 
Hii lugha tunaipenda ila yenyewe inatushangaa
 
Kingereza kinafundishwa kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuu, kwanini watanzania watafasiliwe Kiingereza kwenye mikutano yetu na wageni? Hii ni aibu kubwa kwa taifa, elimu yetu na hata Chama tawala.

Chukua hatua kuiondoa aibu hii nzito.
Waalimu wazuri na mitaala inayojitosheleza inakosekana.
 
Back
Top Bottom