Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Nimewaza sana na ninafikiri ni muda Sasa wa Dunia kututambua USA amesema kwa mwaka Jana pekee alichangia kiasi Cha Dola za Marekani milioni 500 pesa ambazo ni kama tilioni moja nukta 2 za kitanzania (1.2tirioni za kitanzania). Pesa hizi tunao uwezo wa kuzipata na kuziwakilisha kama mchango wetu kwa shirika la Afya duniani. Hii itatujengea heshima na kututangaza kimataifa zaidi. Wakuu hii imekaaje