Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Hayo ni mambo binafsi mkuuUnajua bajeti yenu inachangiwa asilimia ngapi na mnawaita wahisani ??
Hii pesa ni ndogo sana TRA kwa mwezi makusanyo yake ni trioni zaidi ya mbiliUnajua bajeti yenu inachangiwa asilimia ngapi na mnawaita wahisani ??
Nimewaza sana na ninafikiri ni muda Sasa wa Dunia kututambua USA amesema kwa mwaka Jana pekee alichangia kiasi Cha Dola za Marekani milioni 500 pesa ambazo ni kama tilioni moja nukta 2 za kitanzania (1.2tirioni za kitanzania). Pesa hizi tunao uwezo wa kuzipata na kuziwakilisha kama mchango wetu kwa shirika la Afya duniani. Hii itatujengea heshima na kututangaza kimataifa zaidi. Wakuu hii imekaaje
Mtakata pumzi saa 2 asubuhiNimewaza sana na ninafikiri ni muda Sasa wa Dunia kututambua USA amesema kwa mwaka Jana pekee alichangia kiasi Cha Dola za Marekani milioni 500 pesa ambazo ni kama tilioni moja nukta 2 za kitanzania (1.2tirioni za kitanzania). Pesa hizi tunao uwezo wa kuzipata na kuziwakilisha kama mchango wetu kwa shirika la Afya duniani. Hii itatujengea heshima na kututangaza kimataifa zaidi. Wakuu hii imekaaje
Halafu uone CCM wanaserebuka na wasanii kwa huo mchango utarudia tena kuchanga?Nimewaza sana na ninafikiri ni muda Sasa wa Dunia kututambua USA amesema kwa mwaka Jana pekee alichangia kiasi Cha Dola za Marekani milioni 500 pesa ambazo ni kama tilioni moja nukta 2 za kitanzania (1.2tirioni za kitanzania). Pesa hizi tunao uwezo wa kuzipata na kuziwakilisha kama mchango wetu kwa shirika la Afya duniani. Hii itatujengea heshima na kututangaza kimataifa zaidi. Wakuu hii imekaaje
Kipi kinashindikana mkuu? Pesa ambayo ni tirion moja inatushinda kweli?Jina lako ndo hilo la Wakusoma?
Kama ndo hivyo, labda ukimaliza shule pengine itasaidia kidogo kuelewa mambo kama hayo, kwa sasa we piga shule kwanza
Mabus ya CCMHalafu uone CCM wanaserebuka na wasanii kwa huo mchango utarudia tena kuchanga?
Kuna hela zinamwagwa hazina hata bajeti tumieni hizo.
Goli la mama
Ruzuku vyàma vya siasa
V8
Mahekalu ya mawaziri
Ester buses
Sherehe kizimkazi
Mapinduzi
Uhuru
Mwenge
Ngoroñgoro
Gas
Ongeza.....
Pesa zenu zinajenga na kuimarisha maisha binafsi ya wanasiasa. Hata hizo za wahisani zinaliwa tu kwa fujo!Nimewaza sana na ninafikiri ni muda Sasa wa Dunia kututambua USA amesema kwa mwaka Jana pekee alichangia kiasi Cha Dola za Marekani milioni 500 pesa ambazo ni kama tilioni moja nukta 2 za kitanzania (1.2tirioni za kitanzania). Pesa hizi tunao uwezo wa kuzipata na kuziwakilisha kama mchango wetu kwa shirika la Afya duniani. Hii itatujengea heshima na kututangaza kimataifa zaidi. Wakuu hii imekaaje