marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
- Thread starter
-
- #21
Unazi uko wapi sasa ....kutoa maoni ni unazi?Hoja kwa uzi wa kipumbavu na mimi nitaonekana mjinga, siwezi kuweka hoja kwa uzi wenye unazi
Jirekebishe mkuu, ukitaka kuleta uzi humu acha mambo ya unazi, talk about football Ndo utapata maoni mazuri
Hakuna unazi wewe ndio unazi ndio maana kila kinacho postiwa unaina unaziJirekebishe mkuu, ukitaka kuleta uzi humu acha mambo ya unazi, talk about football Ndo utapata maoni mazuri
Message sent and deliveredHakuna unazi wewe ndio unazi ndio maana kila kinacho postiwa unaina unazi
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Nyamaza ufiche upumbavu wako.Ni jambo le Kheri kwa Taifa kwakua sasa Tanzania inatoa timu 4 kushiriki mashindano ya kimataifa
Mbili Club bingwa na mbili Shirikisho.
Lakini nafasi hizi zote zinachukuliwa na timu za Tanzania bara japokua Visiwani pia kuna ligi na kuna timu zilizo serious ambazo zina uwezo kuliko hizi za huku ambazo hutegemea Clabu ya Simba pekee ikafanye maajabu Club bingwa ili wao waserereke .
Hivyo hizi nafasi mbili za clabu bingwa moja aende bingwa wa ligi kuu Tanzania bara alafu moja aende bingwa wa ligi ya Visiwani.
Alaf huko shirikisho ipigwe mwechi kati ya alie shila nafasi ya pili na watatu ili apatikane alie serious zaidi aende na bingwa wa FA .
Kama ikitokea Bingwa wa FA akawa ndio bingwa wa ligi basi yeye bingwa ndio apewe fulsa ya kuchagua ni nani aende kama ni Namungo ,Mwadui Coastal Ndanda sawa tu,,!
Muda ni mwalimu mzuri sana. Vp hujawaona kwenye droo?Hawana nafasi ndugu..
duh sasa hao waliopo kwenye droo ya CAF ni akina nan?Zimeondolewa rasmi kuanzia mwaka huu 2021/22