Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Hili swali nimeulizwa na huyu mtoto wangu mdogo!
Kila mcheshi anadhani anaweza kuwa MC na wengi wamevamia huko, cha ajabu ni wachache sana kati yao wenye angalau.
Japo lengo lao kujipatia chochote kitu ila wengi wao ni hovyo kabisa, sherehe sio jukwaa la vichekesho. Washereheshaji mahiri wala sio wachekeshaji.
Kwanini wacheshi wamevamia na kuharibu hii tasnia?