Kwanini tatizo la uhaba wa walimu tanzania haliishi??

Joined
Aug 1, 2013
Posts
89
Reaction score
11
[h=1]KWA NINI TATIZO LA UHABA WA WALIMU TANZANIA HALIISHI?[/h]

Nchini tanzania tatizo la uhaba wa ualimu katika ngazi zote sasa
limikuwa sugu. Na wakati huohuo kila mwaka vyuo vya ualimu ngazi zote
vinazalisha walimu wengi. swali ambalo wengi hujiuliza ni je, kwa nini
tatizo hilo haliishi?
Jibu la swali hili ni kwamba ni kwa sababu serikali imelipuuza suala
la elimu ingawa watawala wanafahamu kuwa elimu ndio msingi wa
maendeleo. Watawala wamekuwa wakijali maslahi yao zaidi ndio maana
wameshindwa kuyaboresha maslahi ya walimu na mazingira ya kufundishia
na kufundishia, Kwa hiyo kila mara walimu wanapopangwa vituoni
hukimbia na kwenda kutafuta kazi zingine pale wanapoona mazingira
magumu ya kufundishia. Mazingira ya kufundishia hayana mvuto kabisa
lakini mbaya zaidi pesa za kujikimu ni kidogo sana. kwa mfano kwa
mujibu wa waraka wa mwaka huu pesa ya kujikimu ni shilingi elfu 30 kwa
muda wa siku saba ambayo ni sh, laki mbili na kumi. Je hii kama si
aibu ni nini. mbona wabunge wao wanadai kuwa posho ya sh. 70000
wanayopewa kwa siku wanapokuwa bungeni haiwatoshi?
Pia shule nyingi hazina nyumba za walimu na kila mwaka serikali
katika bajeti hutenga fungu kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu.
je, hizo pesa zinaenda wapi?(ALIYE NA SHIBE SIKU ZOTE HUMSAHAU ALIYE NA NJAA):flypig:🙂:israel::A S 114:


_______________________________________________________________________________________________________


“We did not go into teaching to get rich, but to enrich others.”
 

Peleka maoni yako wizarani!! Utapata msaada lakini sio hapa ndani
 
ni kweli mkuu tatizo la uchache wa walimu ktk shule zetu haliwezi kuisha kwakumtegemea shukuru kawambwa,walimu wengi wapo mtaani kisa eti mwalimu anasup moja,chakushangaza bajeti wanabigia kuajiri walimu wote waliomavyuoni ikifika wizarani wanaajiri walimu wachache kama si wizi wa mchana nin huu,
 
Teachers are majority neglected group in this contry. Politicians are the firstly respected and highly paid group in this country. In order to eradicate this inequalities self determination to all teachers is needed, they have to avoid to be used by politicians as spades and being paid meagre wages during elections. Also there is a need for all teachers to undertake frequently in-service programs so as to increase competence and interaction.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…