Kwanini TCRA ilijiondoa mtandao X na wahanga wengi wapo mtandao huu?

Kwanini TCRA ilijiondoa mtandao X na wahanga wengi wapo mtandao huu?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Kwa sasa naamini ili wasionekane hawausiki na yanayotokea TCRA waliondoa account yao.

Ukweli mtandao X kuna viongozi wanaogopa kuwa na account au kama wanazo basi sio zao.

Na lingine kama TCRA inaonekana kuwa vikwazo sana kwenye mambo mengi inawezekana na google nayo ikajiondoa tz
 
Tusitumie kabisa mitandao ili kulinda maadili kama chawa na vilaza wa ccm wanavyotaka.
 
Wanatamani ile miaka ya zamani ya giza ya Mwalimu Nyerere kusema ameota kumbe ana tv kwake.
 
Taasisi inaendeshwa na itikidi za kizee no wonder tutaendelea kuwa maskini wakukopa kwa kuendekeza akili za kijingi za story za abunuwasi in the name of maadili na uzaelendo wa kutokuikosoa serikali.
 
Back
Top Bottom