Kwanini TCRA wanawaachia hawa matapeli wanatumia majina ya watu vibaya?

Sms kama hizo we ignore
Mwisho wa siku mtumaji
Anajiona fala

Ova
too bad ni bulk SMS, inajeneret namba ya mpokeaji randomly inatuma,

na baadhi zinajereta hata namba ya mtumaji (sms spoofing), kiasi iyo namba haipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…