General directory
Member
- Jun 17, 2013
- 74
- 8
Nimeingia kwenye kibox cha application nikakutana kumeandikwa " (CAS) YOU ARE NOT YET APPLIED" but kwenye my profile kila kitu kipo sawa mpaka wameniandikia pale chini kwenye View my selection status na rangi nyekundu tena bold "PROCCESSED. YOU HAVE BEEN SELECTED".
Sasa inakuaje tena kwenye application naambiwa "you are not yet applied" coz mwazo nilivyo selectiwa na kuwa proccessed nilikua nikiia kwenye hicho kibox cha application nakutana na neno second round. Tujuzane jamani coz nimepanic.