Kwanini TCU wananiambia "you have not yet applied" ?

Joined
Jun 17, 2013
Posts
74
Reaction score
8
Nimeingia kwenye kibox cha application nikakutana kumeandikwa " (CAS) YOU ARE NOT YET APPLIED" but kwenye my profile kila kitu kipo sawa mpaka wameniandikia pale chini kwenye View my selection status na rangi nyekundu tena bold "PROCCESSED. YOU HAVE BEEN SELECTED".

Sasa inakuaje tena kwenye application naambiwa "you are not yet applied" coz mwazo nilivyo selectiwa na kuwa proccessed nilikua nikiia kwenye hicho kibox cha application nakutana na neno second round. Tujuzane jamani coz nimepanic.
 
Nipe namba yako na password yako nkutizamie mana mm n mgen jf bt general umekuwa unahitaj post nying sana nkikuangalzia ndo ntajua nkupe ushaur gan au tupe screenshort
 
Mnajipanickisha wenyewe! atleast use common sense! kinachokupeleka kwenye kibox cha "Application" ni nin? ukiangalia kwa umakini utaona kabisa hicho kibox rangi yake imefifia kabisa, kwa maana kwamba hutakiwi kukitumia kwa sasa, unatakiwa kubonyeza kule kwenye "my selection status" ndo msemakweli, kama kule kumeandikwa processed successfuly, you are selected, then unachotakiwa ni kuwa na furaha na usubiri kuchaguliwa course mojawapo kati ya ulizozichagua, hayo mambo ya kubofya button ya "application" yatakuponza! utakuja kujikuta umeharibu kila kitu, acha presha
 
Maelezo Zaid tcu wametoa majina ya waliokuwa ni second round angalia lako
 
watu wengine bna mnakuwa na mchecheto wa nini sijui....sasa huko ulikuwa unatafuta nini???..........haya sasa kwa taarifa yako ndo ushaharibu hivooooo
 

Wewe jamaa ninaweza kusema we ni mjinga na mbulumbundu wa mwisho how comes ulete hoja moja daily thenly umepewa majibu yenye facts lakin huelewi? Juzi, jana, na leo umeleta hoja ile ile lakini sijui ndo kutokujiamini au upumbav!

Sasa fata akili yako inavyokutuma koz una kiherehere sana, sasa nani kakwambia uende kwenye inbox ya APPLICATION na akati unaona kabisa haikuhusu?

Unaboa sana sina uhakika kama umemaliza kweli Form6.
 

Mkuu jamaa tushamwambia sana hiki kitu lakini haelewi tumuache akafanye yale akili yake inavyomtuma.
 

rekebisha kauli mkuu
 

Bofya hapa kuondoa mzizi wa fitna - hii kazi ya mkuu GIVEN EDWARD : http://cas.tcu.go.tz/2/admitted_applicants.php
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…