Pre GE2025 Kwanini Team Samia inaogopa kuenguliwa 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alikuwa Mwenyekiti wa CCM?. Wacha kulinganisha visivyolingana.
Dp world ni kuua muungano Kwa kuchochea chuki kati ya bars na visiwani!alietia saini huo mkataba anaua muungano!!

Hoja ndio hiyo hapo!sio uenyekiti wa CCM!Ccm ni kubwa kama taasisi sio uenyekiti sio mkubwa kuliko uccm!!
 
Hivi kwanini huu muhula ndo angetakiwa aumalizie then fomu zitolewe watu wachukue kura zipigwe?

Mi naona huu ndo utaratibu mzuri
 
Mi nazani mchakato wa kupigiwa kula upya ndo unafaa kwa 2025, no free lunch. free lunch alishaa ipata kikatiba Sasa inabidi iyo nafasi aipambanie asitake mteremko huyu mama.
 
yaani yeye ndie mwenyewekiti, kisha huyo huyo anaogopa kuenguliwa🐒

yaani yeye ndie anateu na ndie mwenye mamlaka na assets na liabilities za chama, ndie aliebeba matumaini ya viongozi wa chama, wanachama na wanainchi wote wa Tanzania halafu tena awe na hofu 🤓

hiyo itakua ni akili za nyumbu, kenge, panyarodi au matope 🐒
 
Kundi la pili na la tatu 👍 . Hafai hata kidogo kuendelea kwa manufaa mapana ya nchi. Ni dhaifu mno,ni dhaifu mno. Aondoke zake
 
Ujao ni zamu ya kuksbidhi nchi kwa chawa mmoja hivi🙂
 
HAKUNA MWENYE UTHUBUTU WA KUSEMA WATU WACHUKUE FORM ASHINDANISHWE, HAYUPO. AKITOKEA SIKU IYO WANAMFUTA UANACHAMA
 
HAKUNA MWENYE UTHUBUTU WA KUSEMA WATU WACHUKUE FORM ASHINDANISHWE, HAYUPO. AKITOKEA SIKU IYO WANAMFUTA UANACHAMA
Wamesalia kuongea kwenye vijiwe.

Na Kwa taarifa Yao tuu kura za kumpitisha tutasoma finger print ya kil mmja tutajua nani alikampinga na nani alimlikubali.

Maana hata wapinge wote ambao haiwezekani lazima tumtangaze mshindi then baada ya uchaguzi Mkuu tutaanza kibano mmja Baada ya mwingine maana hao ni wasaliti.
 
Wengi mnaotabiritabiri sio Wana CCM. Mwana CCM yeyote anaijia Katiba pamoja na Kanuni zake za namna ya kupata Mgombea Urais. Kwa kifupi, mwaka 2025 Mgombea Urais wa CCM ni mmoja tu naye ni MAMA SAMIA SULUHU HASSAN!
 
Kundi la pili na la tatu [emoji106] . Hafai hata kidogo kuendelea kwa manufaa mapana ya nchi. Ni dhaifu mno,ni dhaifu mno. Aondoke zake
Naunga mkono hoja, huyo bibi hana uwezo kabisa wa kujenga uchumi wa nchi, hata msoga alikuwa afadhari, huyu fedha za maendeleo zinaishia mifukoni mwa watu, kauli kabisa, yaani hamna kitu, hata wanaomsapoti wanaudumavu wa akili na wamekosa uzalendo, ndio mana wazungu wanatuona sisi ngedere tu.
 
Kwa nini aenguliwe?
 
Vipi Mbowe na chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…