Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
KmmkJe Kukataa wito wa tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025, kuna dhihirisha ukweli juu ya ushiriki wao katika kuchochea vurugu na ghasia hizo za oct.2025?.
Sote ni mashuhuda wa namna viongozi wa TEC walivyohubiri chuki na walivyotamani fujo, vurugu, maafa na uharibifu kutokea katika wakato uchaguzi mkuu wa oct.
sheria ni msumeno, na mkono wa sheria ni mrefu kuliko wanavyodhani.
Ni muhimu sana mamlaka za nchi kuwadhibiti kuwazuia wahusika wasitoke nje ya mipaka ya Tanzania.
Kulikoni wasiisaidie tume ya uchunguzi?
Mungu Ibariki Tanzania.
Kauli thabiti na imara sana kutoka kwako Paschal Mayala. TEC hawajipendekezi kwa mtu wala hawahitaji kuwa machawa ili mambo yao yaende. Kwao nyeupe ni nyeupe. Utake au usitakeMkuu Tilatila, Tlaatlaah , with due respect, nakuomba usitake kutupeleka huko, tukaishia kuhitlafiana kwa mambo ya kiimani. TEC ndie msimamizi wa Wakristo Wakatoliki Tanzania, ni taasisi iliyosimama wima iko very straight, haitaki ujinga, wala usiingize kwenye mambo ya kijinga!, hawawezi kushiriki ujinga!.
Kitendo cha TEC Kukataa wito wa tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025, kuna dhihirisha ukweli kuwa TEC wako straight, hawawezi kushiriki ujinga!.
Kwa vile baada ya tumme ya Uchunguzi, inaundwa tume jinai, kama una ushahidi wa TEC kuchochea vurugu na ghasia hizo za oct.2025 na wewe ni shuhuda wa namna viongozi wa TEC walivyohubiri chuki na walivyotamani fujo, vurugu, maafa na uharibifu kutokea katika wakati uchaguzi mkuu wa oct upeleke kwenye Tume jinai!.
Kwa kawaida, TEC, hawatakagi ujinga kabisa!. Hata Baba wa Taifa, angekuwa hai, asingeshiriki ujinga kama huo, yule Mzee ni Mkatoliki, hatutakagi kabisa ujinga!.
P
Sometimes una upuuzi mwingi sana kwasababu tu ya siasa za ccm bila kujali madhara ya maandiko yakoi'm sory mwalimu Pascal Mayalla, i'm sory TEC & wadau wote wa heshima sana wa JF.
Moderator plz, hata kama kufuta uzi sio utaratibu basi walau naomba kufungiwa uzi huu ili walau kuepuka kuwakwaza wadau wengi zaid muhimu na waheshima sana wa JF.
i'm very sory to all once again
Kumbe bado umebakiwa na utu na akili kidogo za kutambua wapi umekosea.i'm sory mwalimu Pascal Mayalla, i'm sory TEC & wadau wote wa heshima sana wa JF.
Moderator plz, hata kama kufuta uzi sio utaratibu basi walau naomba kufungiwa uzi huu ili walau kuepuka kuwakwaza wadau wengi zaid muhimu na waheshima sana wa JF.
i'm very sory to all once again
It's too late to apologize , nadhani ungeendelea kutekeleza lengo lako la kufungua huu uzii'm sory mwalimu Pascal Mayalla, i'm sory TEC & wadau wote wa heshima sana wa JF.
Moderator plz, hata kama kufuta uzi sio utaratibu basi walau naomba kufungiwa uzi huu ili walau kuepuka kuwakwaza wadau wengi zaid muhimu na waheshima sana wa JF.
i'm very sory to all once again
Hufai kusamehewa hujawahi kuwa na akili. Umeweka fantasy za kisiasa mbele …… unadhan CCM pekee inaweza kujenga jamii imara.i'm sory mwalimu Pascal Mayalla, i'm sory TEC & wadau wote wa heshima sana wa JF.
Moderator plz, hata kama kufuta uzi sio utaratibu basi walau naomba kufungiwa uzi huu ili walau kuepuka kuwakwaza wadau wengi zaid muhimu na waheshima sana wa JF.
i'm very sory to all once again
Je Kukataa wito wa tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025, kuna dhihirisha ukweli juu ya ushiriki wao katika kuchochea vurugu na ghasia hizo za oct.2025?.
Sote ni mashuhuda wa namna viongozi wa TEC walivyohubiri chuki na walivyotamani fujo, vurugu, maafa na uharibifu kutokea katika wakato uchaguzi mkuu wa oct.
sheria ni msumeno, na mkono wa sheria ni mrefu kuliko wanavyodhani.
Ni muhimu sana mamlaka za nchi kuwadhibiti kuwazuia wahusika wasitoke nje ya mipaka ya Tanzania.
Kulikoni wasiisaidie tume ya uchunguzi?
Mungu Ibariki Tanzania.
Empty head mwingine huyu hapa, huna tofauti na toilet paper, wewe ni wakupangusia kinyesi na kuflashiwa ukajiunge na vijidudu wenzako. You're a certified imbecile.Ikibainika ni lazima hatua kali za kisheria zichukuliwe
Kumuita binadamu yeyote Yezebeli, sio jina la heshima, sembuse huyo uliyemuita!. Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanweWatu wameuawa tume uchwara ikaenda Kizimkazi kumridhisha Malikia Yezebeli?
Je Kukataa wito wa tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025, kuna dhihirisha ukweli juu ya ushiriki wao katika kuchochea vurugu na ghasia hizo za oct.2025?.
Sote ni mashuhuda wa namna viongozi wa TEC walivyohubiri chuki na walivyotamani fujo, vurugu, maafa na uharibifu kutokea katika wakato uchaguzi mkuu wa oct.
sheria ni msumeno, na mkono wa sheria ni mrefu kuliko wanavyodhani.
Ni muhimu sana mamlaka za nchi kuwadhibiti kuwazuia wahusika wasitoke nje ya mipaka ya Tanzania.
Kulikoni wasiisaidie tume ya uchunguzi?
Mungu Ibariki Tanzania.
Ikibainika ni lazima hatua kali za kisheria zichukuliwe
NI MPUUZI ALWAYS.Sometimes una upuuzi mwingi sana kwasababu tu ya siasa za ccm bila kujali madhara ya maandiko yako
Hivi matusi ht TEC yapo kumbeMbwa wewe, na mshenzi sana, kaisemee BAKWATA, acha kuchonganisha fala, peleka makalio yako huko. Pumbavu sana.
Sio huenda, bali TEC ndio Mratibu mkuu wa vurugu zile. Na bado hawajaridhikaJe Kukataa wito wa tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025, kuna dhihirisha ukweli juu ya ushiriki wao katika kuchochea vurugu na ghasia hizo za oct.2025?.
Sote ni mashuhuda wa namna viongozi wa TEC walivyohubiri chuki na walivyotamani fujo, vurugu, maafa na uharibifu kutokea katika wakato uchaguzi mkuu wa oct.
sheria ni msumeno, na mkono wa sheria ni mrefu kuliko wanavyodhani.
Ni muhimu sana mamlaka za nchi kuwadhibiti kuwazuia wahusika wasitoke nje ya mipaka ya Tanzania.
Kulikoni wasiisaidie tume ya uchunguzi?
Mungu Ibariki Tanzania.
Asirudie tena!NI MPUUZI ALWAYS.
ila kwa vile kakiri upuuzi wake, tumsamehe