PostGE2025 Kwanini TEC hawakutoa ushirikiano kwa Tume ya Jaji Chande?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huenda ikwawa ni kweli
 
Mfia dini kaa kwa kutulia, hao TEC wapuuzi tu
Kama wanakemea, kwanini wanakemea kwa selective order


 

Attachments

  • 1777306180009.png
    412.4 KB · Views: 16
Shikamoo brother Pasco!
Didn't see this coming.
 
TEC si taasisi ya kiduanzi gentleman, ile ni taasisi ya kiweledi, hawatakagi mambo ya kipuuzi, wale ni haki na amani tu
 
TEC siyo Wanafiki! Hawako tayari kushiriki dhambi ya Umwagaji damu.
Uzuri wao walionya,walitahadharisha kuwa Taifa linakwenda pabaya,lakini serikali ikaziba masikio! Sasa mnawatakia nini tena?
Walishatimiza wajibu wao wanaiangalia serikali jinsi inavyotapatapa.
 
Ujinga mzigo.
 
Alikuwa anatuzuga tu
Wakati mpaka alimteua Kadinali kuwa msaidizi na mshauri wake


View attachment 3580481
Elrwa sentensi "waliwahi kumpinga na kumtenga" sio kumkataa. Walimrudisha kwenye mstari baada ya kujirisha amefanyia kazi waliyomshauri ayafanyie kazi.

Hata hao Marais ambao tec wanatosha matamko dhidi yao sio kwamba wanawakataa, noo Bali wanawarudisha mstatini.
 

Zingatia neno- Ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…