Kwanini TEC wapo kimya kwa Katibu wao wa zamani DK Slaa kunyimwa dhamana kinyume na sheria

Kwanini TEC wapo kimya kwa Katibu wao wa zamani DK Slaa kunyimwa dhamana kinyume na sheria

Ubaya Ubwela

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
1,353
Reaction score
3,060
Kitendo cha kuendelea kushikiria Katibu wao (TEC)wa zamani dk slaa kinyume na sheria kwa kesi ambayo ina dhamana ni kitendo cha ni kinyanyasaji kwanini wapo kimya..
20250208_174443.jpg
 
Wapo kimya chadema aliyowapa umaarufu tech wafanye nini na aliasi kwa kula tunda lilokatazwa ndio maana wamechuna!
 
Huna sababu ya kulihusisha Baraza la Maaskofu (TEC) na Dr. Slaa. Kwa sababu hakuna ususiano wowote ule kati yao. Dr. Slaa ni raia tu kama ulivyo wewe, hivyo hana mahusiano/ maslahi yoyote yale na TEC.
Dr Slaa ni Katibu mstaafu wa TEC, wewe guruguja unasemaje hawana uhusiano wakati amewai kuiongoza taasisi?
 
Kitendo cha kuendelea kushikiria Katibu wao (TEC)wa zamani dk slaa kinyume na sheria kwa kesi ambayo ina dhamana ni kitendo cha ni kinyanyasaji kwanini wapo kimya..View attachment 3229199
tuwalaumu mawakili wetu, hata kama alinyimwa kinyume awali, mawakili wameleta jambo linalofanya ombi lake la dhamana lisishughulikiwe, na lingeshughulikiwa angepata dhamana.
 
Dr Slaa ni Katibu mstaafu wa TEC, wewe guruguja unasemaje hawana uhusiano wakati amewai kuiongoza taasisi?
Usianze kukimbilia kwenye kutukana. Maana ndiyo kinga ya mtu mwenye akili fupi.

Kwa taarifa yako Dr. Slaa siyo Katibu mtaafu wa TEC! Dr. Slaa aliwahi kuwa Padre wa Kanisa Katoliki, na pia Katibu wa TEC! Baada ya kuacha upadre kwa kufuata taratibu za Kanisa, amebakia kuwa raia wa kawaida. Sasa kwa nini unalazimisha TEC watoe tamko?

Halafu nimekuuliza kistaarabu, wewe unakimbilia kwenye matusi. Jibu hoja!
 
Kitendo cha kuendelea kushikiria Katibu wao (TEC)wa zamani dk slaa kinyume na sheria kwa kesi ambayo ina dhamana ni kitendo cha ni kinyanyasaji kwanini wapo kimya..View attachment 3229199
Una taarifa kuwa Kanisa Katoliki ni Mwamba ulioko Baharini/Ziwani. Moja ya maana ni kwamba likipigwa na wimbi,hung'aa zaidi kuliko Kuchafuka?
 
Kitendo cha kuendelea kushikiria Katibu wao (TEC)wa zamani dk slaa kinyume na sheria kwa kesi ambayo ina dhamana ni kitendo cha ni kinyanyasaji kwanini wapo kimya..View attachment 3229199
Huyu mzee maneno ya lawama ya Watanganyika wengi inamuandama!

Yeye ndiye aliyeqababisha yote haya na swahiba wake dikteta Mbowe nchi kuwa hivi.
 
Back
Top Bottom