Majeta The GREAT
New Member
- Feb 17, 2019
- 2
- 3
Tatizo hufuatilii tuHivi kwanini TFF wanatutajiaga mapato ya uwanja wa Taifa tu? Hasa mechi za Simba vs Yanga
Huko mikoani watazamaji wanaingiaga buuureee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa swali muruwa .Hivi kwanini TFF wanatutajiaga mapato ya uwanja wa Taifa tu? Hasa mechi za Simba vs Yanga
Huko mikoani watazamaji wanaingiaga buuureee?
Sent using Jamii Forums mobile app