Kwanini tff wanafanya maamuzi kwa kuamliwa na clouds?!!

Kwanini tff wanafanya maamuzi kwa kuamliwa na clouds?!!

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Hivi jamani kwanini hawa tff wanafanya maamuzi kupitia vipindi vya redio clouds na clouds tv a.k.a simba tv.ukitazama vizuri kile kinachozungumzwa na clouds ndicho kinachoamliwa na tff.mfano tff ilimuadhibu kaseja kumfungia na faini kwa kuonyesha utovu wa nidham kwa kutopeana mkonö na mgeni rasmi,lakini baada ya kutetewa na wanaclouds akasamehewa pia kile kilichokua kinasemwa na clouds kuhsu yanga ndicho kilicho amliwa na tff.tuambieni kama mmeshindwa kaziyenu tuwapatie clouds iwe kamati yenu ya nidhamu.mi naona ipo haja mr2 SUGU aje na huku kwenye soka maana naona fani imeingiliwa.sugu ndo kiboko yao!
 
Back
Top Bottom