Kwanini thread za mapenzi na mahusiono wanazichangamkia sana wana JF?

naija-lojja

Senior Member
Joined
May 13, 2017
Posts
163
Reaction score
64
Poleni sana na swaumu wana JF,

Ila katika pitapita yangu humu JF huwa naona thread tofauti tofauti lakini nimebaini kwamba zile za mapenzi na mahusiono ndo unakuta reply kibao.

Hivi ni kweli kwamba jamii zetu waafrika ndo ziko hivi au ata wenzetu Magharibi?
 
ulitaka
Mtu areply asichokijuwa?una reply anachokijuwa?... mtu KUANDIKA NGOJA WAJE WENYWEWE inatosha?kuwa umechangia?au...maana mada zingine unazisoma unapita tu...si kila unachokiona humu kinakuhusu kuchangia...
 
Mapenzi yanaathiri kila mmoja kwa namna moja ama nyingine na unaweza changia kulingana na uzoefu wako. lakini si kila mmoja anaweza changia mada ya kilimo au ufugaji au elimu maana si kila mmoja ana uhusiano na hayo.
 
Unataka kumaanisha kwamba mapenzi ndo kitu pekee kinachojulikana na kila mtu??
 
Siasa ni pasua kichwa. Bora mapenzi yana raha na karaha!
 
Mapenzi ni kila kitu, wacha kabisa, kamuulize SAMSONI
 
Mapenzi yanaathiri kila mmoja kwa namna moja ama nyingine na unaweza changia kulingana na uzoefu wako. lakini si kila mmoja anaweza changia mada ya kilimo au ufugaji au elimu maana si kila mmoja ana uhusiano na hayo.
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…