Nashangaa sana tuna tumia pesa nyingi sana kuisafirisha hii timu kwenda kucheza huko nje ya nchi miaka yote hii wanafungwa tu ni kama vile gemu kwao ni tabu sana. kwanini serikali isiamue timu ya Simba au Yanga FC iwe timu ya taifa, hii timu inatupa taabu sana, samatta kiwango chake kama kinashuka yeye kucheza kwenye timu inayofungwa mara zote, wangeenda na Boeing ingekuwaje aibu tu. Afadhali wangekuwa wanafungwa magoli machache sana MATATU ni mengi mno.