Kwanini timu żenye udhamini wa GSM zinaisumbua sana Simba?

Kwanini timu żenye udhamini wa GSM zinaisumbua sana Simba?

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Timu zote kuanzia Yanga, Dodoma, Coastal, Namungo, Pamba, Singida, Tanzania Prisons nao sijui wapo katika udhamini kila zinapocheza na Simba ngoma inakuwa ngumu sana.

Hawa Coastal wachovu nao eti wamedinda, sio wao ni wale wauza magodoro mipango yao imefanikiwa leo na itaendelea kufanikiwa.

Soma Pia:
 
Kiongozi mbona hatujaona ule uchambuzi wako wa mambo kumi uliyaona kwenye game ya leo kuna shida au hujaangalia game
 
Tuna Magodoro ya kutosha tutalala popote na sherehe tutaifanya mwisho wa msimu... Bado hamjasema
 
Hurèeeeeeeeeeeeeee
Jiwe la msingi la Matusi kwa GSM liliwekwa jana, leo ujenzi umeanza rasmi
 
Back
Top Bottom