Kwanini TLS ya Mwabukusi imefilisika ghafla? Hela zimeenda wapi? Imeshindwa kushiriki uchaguzi serikali za mitaa

Kwanini TLS ya Mwabukusi imefilisika ghafla? Hela zimeenda wapi? Imeshindwa kushiriki uchaguzi serikali za mitaa

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Najiuliza taasisi tajiri kama hii fedha zake zinekwenda wapi? Tena muda mfupi tangu uongozi mpya iingie madarakani? Jamani!
Screenshot_20241129-210449.jpg
 
mh! kwani hiki ni chama cha siasa..?
 
Nashangaa kuona section 4 haitumiki ktk chaguzi za serikali za mitaa.
 
Hahaha ukiisha shikana mikono na shetani, huwezi kumuangamiza tena. Unakuwa sehemu ya shetani. TLS sasa ni sawa na Chama cha walimu Tanzania CWT. Maslahi ya viongozi ni muhimu kuliko ya wanachama, na sasa ukienda kwa wananchi ambao ndio wanahitaji msaada wao, huko labda tusubiri baada ya miaka 10.
 
Back
Top Bottom