Kwanini TLS ya Mwabukusi imefilisika ghafla? Hela zimeenda wapi? Imeshindwa kushiriki uchaguzi serikali za mitaa

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Najiuliza taasisi tajiri kama hii fedha zake zinekwenda wapi? Tena muda mfupi tangu uongozi mpya iingie madarakani? Jamani!
 
Hawa nasikia walipigwa mkrwa mzito sana hata Matamko hawatoi tena fuatilia hata post za Mwambukusi utaona ziko tofauti now day.
 
mh! kwani hiki ni chama cha siasa..?
 
Only aliesoma shule za kata ndio atashtaki wenzie for petty things, unajua limitiations zilizopo section 4 au unakurupuka?
Kila kitu sio kushtaki, usikariri sheria
 
Nashangaa kuona section 4 haitumiki ktk chaguzi za serikali za mitaa.
 
Hahaha ukiisha shikana mikono na shetani, huwezi kumuangamiza tena. Unakuwa sehemu ya shetani. TLS sasa ni sawa na Chama cha walimu Tanzania CWT. Maslahi ya viongozi ni muhimu kuliko ya wanachama, na sasa ukienda kwa wananchi ambao ndio wanahitaji msaada wao, huko labda tusubiri baada ya miaka 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…