G
Hata me naikubali sana, hasa model ya 2008. Sema sasa bei yake imesimamaAisee naipenda SANAAAAAA π€ hii gariiii
So tuseme demand yake ni kubwa sanaGari nzuri kimuonekano na imara (Corolla ) standard kwa watumiaji wa level zote.. haina magonjwa, service bei ndogo na hautumii mafuta mengi. Ni kaka yake IST
PREMIO IMEKUSHINDA MKUU... HUNA NDOTO ZA V8??Hata me naikubali sana, hasa model ya 2008. Sema sasa bei yake imesimama
Kwanini gari za Japani ni nzuri kuanzia kwe muenekano tofauti na za India, mfano ndogo Bus za Tata pamoja na ukibwa wake lakini ukiiweka na Coaster Tata inaoneka haina maandhari nzuri ndani ya kuvutia ukiangali viti madirisha na ata muonekano wa eneo la Dashboard halivutii, hii ni kwa gari zote za India ata Double kibin Za Toyota hilux ni nzuri kuliko za Tata.Ni kama ilivyo TOYOTA HILUX,
Almaarufu kama Gari ya dunia.
Haijawai kushuka Bei Wala kushuka thamani.
Wanainunua kuanzia wazungu, waarabu , wakorea hadi alshabab
Cheki ya chaser ama cresta nadhani Kuna Moja bei ni mkasi balaaNgoma ngumu nyingine ni carina hii gari haijawahi kushuka beiView attachment 3465641View attachment 3465639
Brevis ikianza missing hhehehe ni kasheshe, yaan unakuta gari njian inazima gafla πππHivi wakuu kati ya Crown athlete na brevis ipi nzuri kwa maana ya kwamba haina usumbufu sana wa kila mara garage