abely kamaly
Member
- Mar 27, 2018
- 9
- 3
KweliPremio toleo gani? Na zinapendwa vipi mbona hazipo nyingi kama Ist, Vitz na Crown au unazungumzia nchi gani!
Sio kwamba zinapendwa sema masikini wanazikimbilia ukweli ni kwamba tunapenda ma Range Rover, V8, Ford Mustang sema ni vile mapangu pa kavu wapo wengiSababu ya kupendwa hizi gari ni nin hasa??
Yaani kwa nin katika gari za kimaskini ichaguliwe premioSio kwamba zinapendwa sema masikini wanazikimbilia ukweli ni kwamba tunapenda ma Range Rover, V8, Ford Mustang sema ni vile mapangu pa kavu wapo wengi
Kwasababu maskini wanapenda kuigana.Yaani kwa nin katika gari za kimaskini ichaguliwe premio
Kwaio premio azili mafuta SanaSio kwamba zinapendwa sema masikini wanazikimbilia ukweli ni kwamba tunapenda ma Range Rover, V8, Ford Mustang sema ni vile mapangu pa kavu wapo wengi
Kivipi?????????Kwa mtu anaejimake Ili Kuja kumiliki gari Kali mbeleni basi anza Na premio utakuj kujuta asee
Mi mwenyewe naitaka sana hii gari.Sababu ya kupendwa hizi gari ni nin hasa??
Mungu atakubariki IPO siku utamiliki yakwako.Binafsi Sina gari Wala Sina kipato Cha kuinunua gari , ila naipenda Sana hiyo gari ya kuitwa Premio. Ila ile ya zamani model fulani hivi haikuwa na mambo mengi.