FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Una undugu na jiwe nini ?Kusema kweli serikali inapoteza mapato ktk mitañdao ya kijamii,kwa nini isichukue mia moja au mia mbili ili tuchangie madawa,maji na huduma zingine.
Tuseme kweli kumbe uchumi mzuri maana hatukosekani online, n a tuna makundi ya WhatsApp lukuki,sasa tumekosa nini tukichangia kama wafanyavo Uganda.
Msaga sumuKusema kweli serikali inapoteza mapato ktk mitañdao ya kijamii,kwa nini isichukue mia moja au mia mbili ili tuchangie madawa,maji na huduma zingine.
Tuseme kweli kumbe uchumi mzuri maana hatukosekani online, n a tuna makundi ya WhatsApp lukuki,sasa tumekosa nini tukichangia kama wafanyavo Uganda.
Dogo tunaponunua bundle tunakatwa 18% VAT bado unataka tukibrowse tukatwe kodi pumbavu zakoKusema kweli serikali inapoteza mapato ktk mitañdao ya kijamii,kwa nini isichukue mia moja au mia mbili ili tuchangie madawa,maji na huduma zingine.
Tuseme kweli kumbe uchumi mzuri maana hatukosekani online, n a tuna makundi ya WhatsApp lukuki,sasa tumekosa nini tukichangia kama wafanyavo Uganda.
Kodi anayolipa anaona kidogoDogo tunaponunua bundle tunakatwa 18% VAT bado unataka tukibrowse tukatwe kodi pumbavu zako
Wanaanzaga hivi hivi kutest mambo kumbe wametumwa na wana nia hiyoumetumwa wewe sio bure