jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Hela ni ya wananchi hivyo ni vyema wananchi wakafahamu makusanyo. Tunasubiri kusikia toka TRA kwa shaukuTabia ya kujimwambafai tulisha iacha sasa ni mpya na mambo mapya.
Na nchi hizo hizo hazina maandamano ya vyama vya upinzani vya mara kwa mara.Nchi zilizoendelea hazitangazi makusanyo ya kodi kila mwezi.
....bali kipi kufanyika ili uwazi wa kumjulisha mlipa kodi kiasi cha fedha kilichopatikana kwa kipindi fulani kupitia malipo ya kodi?Nchi zilizoendelea hazitangazi makusanyo ya kodi kila mwezi.
jitombe
jitombe
..
....bali kipi kufanyika ili uwazi wa kumjulisha mlipa kodi kiasi cha fedha kilichopatikana kwa kipindi fulani kupitia malipo ya kodi?
Na nchi hizo hizo hazina maandamano ya vyama vya upinzani vya mara kwa mara.
Nchi yetu sio zile miongoni mwa zilizoendelea wale walioendelea waacheni na utaratibu wao wakutokutangaza ila sisi masikini nivizuri tukitangaziwa ili tujue kama tunapanda au tunashukaNchi zilizoendelea hazitangazi makusanyo ya kodi kila mwezi.
Ooops benz amepewa Mzee rukhsa dola ooops chijui Bit coin 400 million, lazima Watanzania mtapike tu mpende msipende.Nchi yetu sio zile miongoni mwa zilizoendelea wale walioendelea waacheni na utaratibu wao wakutokutangaza ila sisi masikini nivizuri tukitangaziwa ili tujue kama tunapanda au tunashuka
We nae unaongea ujinga gani uliona mapato ya serikali yakaingia mfukoni mwa raia inamaana mpaka umri huo ulionao hujui matumizi ya kodi!!!??Kote huko walipotangazaga makusanyo ya matrilioni kwa mwezi kuna kitu kiliongezekaga mfukoni kwako? Achana na blah blah za ofisi za watu, tafuta maisha nje ya keyboard.
Nilikuwa nashangaa sana. Labda kama kulikuwa na lengo mahsusi ila kama ni sababu za kisiasa basi tulikosea sana.Nchi zilizoendelea hazitangazi makusanyo ya kodi kila mwezi.