Kwanini TRC wanasisitiza NIDA kukata tiketi za SGR?

Kwanini TRC wanasisitiza NIDA kukata tiketi za SGR?

sapatrade

Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
12
Reaction score
13
Wakuu poleni na majukumu ya kujitafutia kipato,mimi swali langu ni kwa wahusika wa TRC (SGR)hivi ni kwa nini mtu akitaka kukata tiketi kwa ajili ya train ya sgr mnamtaka lazima awe na kitambulisho tena cha Nida naomba kufahamishwa,na je ingetokea nini kama tungekuwa tunakatiwa ticket bila hiyo nida na kwa watu ambao hawana hicho kitambulisho cha nida mmeweka utaratibu gani usiokuwa na usumbufu wa mtu kupata ticket na kusafiri: naomba muelewe kwamba utaratibu mliouweka wa vitambulisho unawakosesha sana abiria
 
Sidhani kuna ulazima wa kitambulisho cha NIDA huwa nawakatia wengi wasio na vitambulisho vya NIDA na wanapanda na vitambulisho vyengine vyenye majina yao
Nakubaliana na wewe 100% mtoa mada punguza mihemko
 
Wakuu poleni na majukumu ya kujitafutia kipato,mimi swali langu ni kwa wahusika wa TRC (SGR)hivi ni kwa nini mtu akitaka kukata tiketi kwa ajili ya train ya sgr mnamtaka lazima awe na kitambulisho tena cha Nida naomba kufahamishwa,na je ingetokea nini kama tungekuwa tunakatiwa ticket bila hiyo nida na kwa watu ambao hawana hicho kitambulisho cha nida mmeweka utaratibu gani usiokuwa na usumbufu wa mtu kupata ticket na kusafiri: naomba muelewe kwamba utaratibu mliouweka wa vitambulisho unawakosesha sana abiria
Mkuu unashangaa ya TRC kunasiku nimeenda makao ya NHIF getini tu nikazuiwa wanataka mpaka uwe na kitambulisho ndiyo uweze kuingia kupata huduma.
 
labda lengo ni kuhakiki na kwamba tiketi yako usimuazime mwingine, wote tunajua kwenye majina ya watanzagiza ni kiama, mtanzagiza jina analoitwa mtaani au nyumbani ukimwafata kazini au shuleni hautampata kwani anatumia jina lingine, au anavyojulikana kazini au shuleni ukimuulizia mtaani anakoishi hawamjui kwa maana anaitwa vingine kabisa na hapo wala sijagusia majina siyo rasmi kama mangi, bwashee, baba revo, mama neema au ndevu, mudi, rama au sijui mwamba, hivyo mtanzagiza unaweza muuliza jina lake akakwambia bwashee au sijui mwamba ukitafuta serikalini hajulikani kwa hilo jina, kwenye majina tanzagiza dunia ilisimama …
 
Back
Top Bottom