labda lengo ni kuhakiki na kwamba tiketi yako usimuazime mwingine, wote tunajua kwenye majina ya watanzagiza ni kiama, mtanzagiza jina analoitwa mtaani au nyumbani ukimwafata kazini au shuleni hautampata kwani anatumia jina lingine, au anavyojulikana kazini au shuleni ukimuulizia mtaani anakoishi hawamjui kwa maana anaitwa vingine kabisa na hapo wala sijagusia majina siyo rasmi kama mangi, bwashee, baba revo, mama neema au ndevu, mudi, rama au sijui mwamba, hivyo mtanzagiza unaweza muuliza jina lake akakwambia bwashee au sijui mwamba ukitafuta serikalini hajulikani kwa hilo jina, kwenye majina tanzagiza dunia ilisimama …