K A B U R U
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 891
- 1,199
Wataalama wa mambo ya treni, mje kunijuza ni kwa nini treni ya mchongoko (EMU) inatumia vichwa viwili kimoja mbele na kingine nyuma? Kwangu naona ni gharama zinazoepukika ikiwa kuna uwezekano wa kutumia kichwa kimoja.