Kwanini Treni ya kasi Dar to Moro hadi leo haijaanza safari zake?

Wildlifer

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2021
Posts
1,884
Reaction score
5,235
Treni ya mwendokasi kutoka dar hadi Morogoro imekua ikisemwa itaanza kwa nyakati tofauti tofauti mara kwa mara lakini hadi leo bado haijaanza, nini hasa sababu ya msingi ya kutoanza kwake kazi?
 
Chama Cha Mafisadi katika ubora wake.
 
Treni ya mwendokasi kutoka dar hadi Morogoro imekua ikisemwa itaanza kwa nyakati tofauti tofauti mara kwa mara lakini hadi leo bado haijaanza, nini hasa sababu ya msingi ya kutoanza kwake kazi?
Huko kwenu kuna umeme wa uhakika?
 
Kwa umeme upi, huu wa kuwaka dakika 3 na kuzima dakika 40.
Lakini hii treni kichwa chake kilielezwa kina uwezo wa kutunza charge ya kuwezesha kutembea zaidi ya dakika 30. So, hii sio kisingizio.
 
Treni ya mwendokasi kutoka dar hadi Morogoro imekua ikisemwa itaanza kwa nyakati tofauti tofauti mara kwa mara lakini hadi leo bado haijaanza, nini hasa sababu ya msingi ya kutoanza kwake kazi?
Kuna mabasi yamefunga njia mwenzao asipite
 
Kwa taarifa tu,hata hiyo treni ya umeme ya wahandisi wa Yapi Merkezi behewa moja tu ikitaka kufanya test lazima umeme uzimwe huko majumbani. 😁
 
Treni ya mwendokasi kutoka dar hadi Morogoro imekua ikisemwa itaanza kwa nyakati tofauti tofauti mara kwa mara lakini hadi leo bado haijaanza, nini hasa sababu ya msingi ya kutoanza kwake kazi?

Mkuu usiwaamini hawa wanasiasa kwa kauli zao.
 
Kadogosa kapotea kabisa kwenye media
 
Back
Top Bottom