CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,634
- 1,001
Tukianzia kwa jirani zetu.
Huu ni muziki masikioni mwa viongozi wa Kiafrika waliochoshwa na kukumbushwa utaratibu wa kidemokrasia na nchi za Magharibi. Rais wa Uganda Yoweri Museveni alithibitisha hilo katika maoni yake aliyotoa.
"Marekani imepata mmoja wa marais bora kuwahi kutokea," Bw. Museveni alisema wakati wa ufunguzi wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) katika mji mkuu wa Uganda wa Kampala.
"Nampenda Trump kwa sababu anawaambia Waafrika kwa uwazi. Waafrika wanahitaji kutatua matatizo yao, Waafrika ni dhaifu."
Upendeleo wa rais kwa Waafrika kutatua matatizo ya Kiafrika inaweza kuwa dhana ya Waafrika, lakini pia ni njia ya kuzuia Magharibi kuivamia Uganda.