Kwanini Trump hakuwaalika marais waafrika katika hafla ya kusimikwa kwake Urais

afrika haina mambo ya left wala right sasa waalikwe kwa D.Trump kufanya nini? wataongea nini na Christian Conservative Capitalists?
Sidhani kama uko sahihi! Ulichofanikiwa kuandika ni political jargons/words na kutuchanganya, hakuna uhalisia.
Does USA not trade with the socialist block? Does USA don't have diplomatic relations with socialist block?
 
Unaweza kulete a credible & reliable source? Nina kazi nayo.
 
Jambo moja kubwa ninalomsifu Trump ni kwamba HUWA HAUMI MANENO.Na kwa haya maswali ni ishara kwamba Afrika tuna viongozi mazuzu
 
Mbona huu uzi ni wa hovyo sana,wangapi wanaalikana africa katika hafla hozo,na umuhimu wake uko wapi
 
Sidhani kama uko sahihi! Ulichofanikiwa kuandika ni political jargons/words na kutuchanganya, hakuna uhalisia.
Does USA not trade with the socialist block? Does USA don't have diplomatic relations with socialist block?

ku-kutrade siyo urafiki isitoshe umeongelea US kama nchi lkn mada inahusu D.Trump kualika viongozi, US inategemea raisi anatoka mlengo gani kwa mfano biden au obama walikuwa liberal communist hivyo waliendana pia na liberal communists wengine lkn Republicans ni Christian Conservative Capitalists hivyo hawawezi kualika liberals kwenye uapisho wao na ndiyo maana liberals kama akina starmer wa uingereza au macron hawakualikwa pia lkn Conservatives kama Meloni wa Italia au Meles wa Argentina waliakwa na upinzani wa Ulaya ambao ni Christian Conservatives lkn hawaongozi serikali walialikwa kama Figel Nigel Farage na wapinzani wengine walialikwa pia

hivyo khs afrika hatuna hiyo milengo, kidogo chadema mwanzoni enzi za akina Mtei ilikuwa inaendana na Christian Conservative angalau kidogo, iliendana na siasa na Christian Conservatives wa US na Ulaya ila wakapotea njia sasa hivi ni communists au hata haijulikani lkn kama wangebakia kwenye mstari labda wangealikwa na D.Trump kuhudhuria.

kwa kifupi siasa zetu hazieleweki, ukimuuliza mwenyekiti mpya wa chadema yuko mlengo gani au anafwata siasa gani kiuchumi sikuwahi kusikia hata wakati wa kampeni, angalau enzi za akina Mtei ilikuwa clear kwamba chadema ni Christian Conservative party na cuf ya Lipumba ilikuwa islamic communist …
 
Ameshaweka msimamo wake wazi kabisa kuhusu OMBAOMBA wa dunia.. Na Africa inaongoza kwa kutembeza mabakuli
 
Chungu ila inaponya
 
Na kuonesha waafrika wengi wasivyo na akili, wataamini haya maneno kuwa yamesemwa na Trump.
 
Huyu mzee ,anaongeaga ukweli
 
Sio Afika tu, ukiacha Rais wa Argentina sijaona maRais wengine.
 
Yupo sahihi. Ana haki ya kuongoza taifa kubwa duniani. Nashauri ata africa wamkabizi urais wa africa huyu mwamba. Tutafika mbali.
 
Nasikia wakwetu aliomba kabisa mwaliko ashiriki uapisho wa trump lakini alikataliwa.Aliaibika sana kukataliwa.
 
Marekani haijawahi kuwa na Rais mcomunist acha uongo
Oboma au biden sio wacomunist
 
duhh,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…