Kwanini Trump hakuwaalika marais waafrika katika hafla ya kusimikwa kwake Urais

Sio kweli alialikwa huyu mwamba wa burkina Faso akachomoa
Western ni wanafki tuu
Long live SAHEL countries
 
Wana mchango gani zaidi ya kuomba misaada tena wengine wasivyo na haya wanaomba misaada binafsi kabisa sio ya nchi.

Kuna bibi mmoja akitia mguu tu Marekani ni kwenda shopping kwenye designer shops.
Africa ni changamoto, waafrika wenye uwezo au madaraka wana roho mbaya.
Akili ya mwafrika nayo ni changamoto. Mwafrika mzuri ni yule aliyeishakufa.
 
Hakuna ulazima WA kwenda ni kuongeza gharama tu
 
Africa ni changamoto, waafrika wenye uwezo au madaraka wana roho mbaya.
Akili ya mwafrika nayo ni changamoto. Mwafrika mzuri ni yule aliyeishakufa.
Kuna nchi kama Singapore na Switzerland hazina kabisa madini, mbuga za wanyama, wala
mali asili kama sisi lakini angalia uchumi, ugunduzi, viwanda, technology na pato lao. Mwafrica ni sanamu tu linalotembea bila kujielewa. Tuna kila kitu halafu viongozi wanaomba omba na kushindana kuiba na kujijengea milki na himaya binafsi.
 
Sijui kama kasema hvyo kweli ila lazima ujue utajiri wa Ulaya/amerika na umaskini wa Africa ni vitu vinavyotegemeana.Wazungu hawatoruhusu muwe matajiri ili wao wawe matajiri.Historia inaonyesha mwisho mbaya wa marais wa Africa wenye uzalendo na nchi zao.
 
Jiulize wewe huwa unaalika watu gani kwako unapokuwa na shughuli
 
Trump hawezi kuja kwenye wizi wa kura na Tume inayoteuliwa na mgombea Urais.
 
Hawa wanao nunua magari ya mil 600 halafu shule hazina vyoo wanaenda kuomba msaa huko tena, sasa hao unaona wanaakili? Hawafai hata kulisogelea anga la marekani maana vichwa vimejaa mapumba
Kuna Bajeti ya mengine inayotengwa ni kubwa sana.

Badala ya kujenga Bajeti kubwa kwenye uzalishaji Ili ukiongezeka ndio tuongezeane salario wao wanatenga hela nyingi kwenye mambo ya kijinga kijinga.eg semina zisizoisha.
 
Huwa Marekani hawaaliki mataahira. Hata wenye akili kama vile majirani zake huwa. hawaalikwi kwa sababu hiiyo ni kazi ya ndani.
 
Umefafanua vizuri.Niona propaganda Moja ya watafuta viewers kwamba eti yule Dogo wa Burkinabe alialikwa ila akatoa excuses.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…