Kwanini TSH inashuka dhidi ya Dollar/KSH, Exchange rate, Deni la Taifa?

🤣 🤣 dogo lala tu unaongea pumba! enhe ulivotengeneza fx pesa transactions za wateja ulikua unazituma kwa nan 🤣
nitafte nikufunze jinsi wanavyofanya kazi uko nje. Sio hii ya kuajiriwa unafanya mifumo inavyosema
 
Kada usitake nifunguke nisije kukamatwa kwa kusambaza taarifa zisizo faa za taasisi. Kafatilie Viongozi wa FXpesa Sauzi na google treasury boardkenya 2022 utanikuta

kaangalie viongozi wa fx pesa utaniona 🤣 🤣 🤣 , uko confident kuongea pumba
 
Kada usitake nifunguke nisije kukamatwa kwa kusambaza taarifa zisizo faa za taasisi. Kafatilie Viongozi wa FXpesa Sauzi na google treasury boardkenya 2022 utanikuta
labda nkufundishe kitu dogo, hakuna mtu yeyote anaweza kufanya trading ya currencies bila Benki kuu, na endapo utaenda kutrade unafanya kitu kinaitwa SPOT means unaweka cash halisi benki kuu na sio kwa sababu unataka kufanya trading bali kwa kua unamiliki firm, wanashika pesa on your behalf alafu wanakutafutia mwingine anaezitaka
 
kuna Financial action task force FATF wana monitor large some of money zinazoingia Central bank na zilipotoka. Ili kuzia money laundry hii unaojua au unakaa kufanya kazi za kuajiriwa kama mkataba inavyosema
 
Sas mkubwa nianze kuweka tena pesa bank kutoka nje ya nchi wakati najua kuna Financial action task force FATF wana monitor large some of money zinazoingia Cenyral bank na zilipotoka. Uwa hatuachi trace
Sasa ndo umeongea nn apo?
 
unaelewa ata unachoongea 🤣
 
stakehigh mkuu BOT naomba uchambuzi wako hapo #52. Na kwa nini mpka leo Paypal imeshindwa kukubaliwa kufanya kaz Tz
 
Uchumi hauwezi kutengamaa kama kuna kiongozi mkuu na genge lake lote nguvu zao zote wameziwekeza kwenye siasa na sio utendaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…