Kwanini tulimchagua Twiga awe Nembo ya Taifa la Tanzania?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Najua lilikuwa ni Chaguo la kisiasa likiwa na sababu zake

Twiga kiasili ni Mnyama mpole, mnyonge asiyependa shida na Chakula chake ni majani laini

Twiga hawindi ila Nyakati fulani anawindwa na wanyama " wakali sana" like Simba, Chui na Kundi la " Mbwa mwitu"

Kwanini tulimchagua Twiga?
 
CCM ni Twiga wanakula ya huko huko juu wakishiba wanatudondoshea mbolea(Dungs) ya miradi ya kutuzuga ama ambayo kwa % kubwa wamepiga.
 
Wewe si ni mnyonge wewe Kwa mujibu wa shujaa wenu uchwara au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…