Kwanini tuliyakimbia mavazi haya

Kwanini tuliyakimbia mavazi haya

Mpauko

R.I.P
Joined
Jan 19, 2019
Posts
2,323
Reaction score
3,428
Mko poa?

Wakuu kwanini wanaume tulilikimbia hili vazi [emoji16]

Unakumbuka usumbufu au changamoto yoyote ya hili vazi?


kzKhafh40iNR5uCVJOmQ0qiE0cidPGr86KclgOXrECb6TG8VZ6vzpN-bu8aPnJus0z1A9EQj1NLCzsAYN85QaSLaihrXJ...jpeg



Pia, kinadada underwear (anda) mlikimbia nini hapa, kwanini msilivae kwenye madera yenu mfiche chupi hizo. Nakumbuka mlikuwa makini kuhakikisha anda haichungulii chini ya sketi[emoji16]


images-43.jpeg


Ya kale dhahabu, turudiie mavazi yetu pendwa[emoji16][emoji16][emoji16]

Au ndio hii nahau ilikosewa?
 
Wachina, wahindi na Waasia wengine na hata idadi kubwa ya wazungu wanaume wapo wanaovaa chupi bado.
 
Wengine Tuna Madushe Makubwa Hiyo chupi haifai dushe litachungulia bora boksa. Kwa Wale Wa Underskirt Taiti Imechukua Nafasi Na Unakuwa Huru Zaidi, Haichungulii Kama Underskirt. Kuvaa Underskirt Wakati Taiti Ipo Ni Ushamba. By The Way hii ni mitindo mipya ya mavazi ya siri (faragha)
 
Umejuaje kama wanaume hawavaichupi mkuu,kwa wanawake kutovaa underskrt nakuelewa,ila wanaume mmh
 
Yategemea Ntu na Ntu kwani kwa upande wa Ke kuna wale wanaopenda wakitembea wawe wanavunja shingo za watu
hivyo lazima wasivae hizo Underskirt.

Ila wale waliokulia kwa kujizowesha kuvaa hivi wengi hawajaacha bado labda wale wapenda mambo ya kuiga hasa huku mijini na ndio sababu ukienda madukani bado zipo tofauti na hizo Pichu za Me.
 
Chupi bhna ni shida umekaa na mma mkwe wako kibarazan anapit mdada mwenye shep athuman anasimma ndan ya chupi na gafla unatakiwa uende ndani hapo ndo shughul inaanza
 
Back
Top Bottom