GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tatizo sio akili ila ni Ignorance. Hakuna mwanadamu asiyekuwa na akili , ila kiwqngo cha maarifa uliyokuwa nayo ndo itakudefine we ni mtu wa aina gani.Yaani wenyewe mmetoa Tangazo lenu kuwa kuanzia sasa mtaitwa TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI badala ya TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI halafu katika Barua yenu mmeendelea Kujitambulisha vile vile kuwa nyie ni TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI.
Kuwa Kwangu sasa nchini Uganda haimaanishi kuwa bado siendelei kufuatilia ya huko Tanzania. Badilisheni upesi.
Kama Mama yako Mzazi.Hauna akili.
Tume huru si jina ni namna watumishi wake walivyopatikana, waliomo ni wateule na mteule hufuata maelekezo kama alivyosema Magufuli. Tume Huru watumishi wake ni waajiriwa baada ya nafasi za kazi kutangazwa na kuziomba kwa maandishi, hivyo bado hatuna tume huru ya uchaguzi.Yaani wenyewe mmetoa Tangazo lenu kuwa kuanzia sasa mtaitwa TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI badala ya TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI halafu katika Barua yenu mmeendelea Kujitambulisha vile vile kuwa nyie ni TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI.
Kuwa Kwangu sasa nchini Uganda haimaanishi kuwa bado siendelei kufuatilia ya huko Tanzania. Badilisheni upesi Okay?
View attachment 2960994
Umeandika vema mkuu,Tanzania bado haina tume huru ya kusimamia uchaguzi huru na wa haki,ila generation ya push back haipo mbaliTume huru si jina ni namna watumishi wake walivyopatikana, waliomo ni wateule na mteule hufuata maelekezo kama alivyosema Magufuli. Tume Huru watumishi wake ni waajiriwa baada ya nafasi za kazi kutangazwa na kuziomba kwa maandishi, hivyo bado hatuna tume huru ya uchaguzi.
Na ndiyo zinanipa Akili kubwa kiasi kwamba Kutwa HATERS wangu wote hamuachi Kunisoma Mume wenu hapa Jamvini.Genta Mibangi 😂
InapendezaHATERS wangu wote hamuachi Kunisoma Mume wenu hapa Jamvini.
Kukazwa vyema au?Inapendeza
Mbona hata Aliyekuzaa nae hana Aikili kama Mimi na wala humshagai?Pindi naanza kusoma nyuzi zako nilijua unaakili sana mkuu! Daah Mola nisamehe
Ndio mkuuKukazwa vyema au?
Elewa neno kubadili jinaYaani wenyewe mmetoa Tangazo lenu kuwa kuanzia sasa mtaitwa TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI badala ya TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI halafu katika Barua yenu mmeendelea Kujitambulisha vile vile kuwa nyie ni TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI.
Kuwa Kwangu sasa nchini Uganda haimaanishi kuwa bado siendelei kufuatilia ya huko Tanzania. Badilisheni upesi Okay?
View attachment 2960994