Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Leo nimejikuta nakumbuka mambo mbalaimbali tuliyopitia Kama taifa kwa nyakat tofauti ambayo yalizua simanzi na taharuki lakini yakapita hivihvi bila kupewa mrejesho ingawa wahusika hukaa mbele ya vyombo vya habari kwa mbwembwe kuwa watatoa ripoti ndan ya siku kadhaa lakn hugeuka hekaya tupu.
Leo tumzungumzie ndugu yetu kutoka pale Lindi, Ruangwa bwana Kassim Majaliwa kwa cheo n mbunge na wazir mkuu wa jamhuri ya watanzania huyu bwana aliunda tume kadhaa.
1. Mlipuko wa gari la mafuta pale morogoro msavu aliunda tume lakn wapi had leo hii kimyaaa miaka na mikaka imepita
2. Moto soko la kariakoo napo aliunda tume lakn had leo kimyaaa
Kubwa zaid pale alipotuambia Watanzania Rais wetu magufuli mzima Tena kwa kejeli akiwa ndani ya msikiti siku chache baadae moendwa akaaga dunia.
Juz kat akiwa bungeni alikanusha hakuna mapigano Ngorongoro lakn mkuu wake wa mkoa akatuambia Kuna mauaji yametokea.
Ndugu Watanzania, mm binafsi nakuwa na mashaka na huyu mteule hasa kauli zake Kama zina utata Sana.