ThisisDenis Senior Member Joined Apr 14, 2013 Posts 162 Reaction score 139 Jan 28, 2023 #1 Wengi wetu tumekua wa kwanza kutafuta lawama kuliko kuangalia suluhisho, hii inatufanya kushindwa kuendelea kwa sababu ya kubaki na kinyongo. Tupambane tuachane na lawama zisizo za msingi.
Wengi wetu tumekua wa kwanza kutafuta lawama kuliko kuangalia suluhisho, hii inatufanya kushindwa kuendelea kwa sababu ya kubaki na kinyongo. Tupambane tuachane na lawama zisizo za msingi.
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Jan 29, 2023 #2 Na wewe umelalamika bila kutoa suluhisho