kwanini tumlaumu Bi sakina dotto?

kwanini tumlaumu Bi sakina dotto?

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
2,653
Reaction score
266
Wana JF wengi katika michango yao kuhusu ukimya wa Mh R.Mengi humuangushia lawam BI SAKINA aliekuwa muhariri wake. jee sakina si tayari ameshacha akzi mbona bado tunamuhusha na kusema ndio chanzo cha mengi kukaa kmya
 
Back
Top Bottom