DASA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 1,031
- 302
Waziri wa afya na ustawi wa jamii Dr. Hussein A. Mwinyi alimteua Prof. Samwel Victor Manyele wa UDSM, kuwa mkemia mkuu wa serikali kuanzia tarehe 21/1/2013. nafasi hiyo ilikuwa wazi baada ya aliyekuwa mkemia mkuu wa serikali marehemu Dr. Ernest Mashimba kufariki tarehe 19 septemba, 2010.
Kutokana na uteuzi huo Professor wetu mpendwa amekuwa akipongezwa sana. Sina wivu na hizo pongezi. Najaribu tu kufikiria kwanini anapongezwa. Je ni kwamba huko kuna masilahi makubwa zaidi??, nafasi aliyoteuliwa ina heshima zaidi kuliko aliyokuwa nayo awali??.
Je Serikali nayo ipongezwe kwa kumteua??. Ni wapi huyu Proffesor alikuwa anahitajika zaidi??. Au kazi aliyokuwa anafanya haikuwa na umuhimu zaidi kuliko hiyo aliyoteuliwa.
Je......?, Je........? ..................
Good day .