Kwanini tunakufa: Mtazamo wa kisayansi, kidini na kifilosofia

Kwahyo unataka kusema mtazamo wa kidini kwamba adam na hawa wakazaane waijaze dunia sio sahihi. Si ndio vizuri kuijaza dunia kama wajazaji wenyewe wameagizwa wajaze kweli kweli hadi dunia ijae
 
Hii ni mitizamo mkuu hatuja sema nani yuko sahihi na nani amekosea tunajaribu kuja na theory kwa nini watu wanakufa
 
 
Ukiwa hai ndio unaweza kuwa na hofu ya kifo.

Hofu ya kifo ipo kwenye uhai. Pia ipo ukiwa hai.

Ukisha kufa, umekufa huwezi kuhisi chochote au kuwa na hofu ya aina yeyote ile.

Kwa hiyo, Death is peace.
 
Kama we unakua...je unadhani aliye/kilichofanya tukawepo angashindwa kufanya dunia nayo iwe inaongezeka ukubwa kulingana na mahitaji.....
 
Mwili unapoacha kufanya kazi, unapokufa unaharibika na baada ya muda wa kutosha masalia yake hupotea.
Katika ukweli kwamba mwili unakufa na unaharibika wazo kwamba "death is peace" sio sahihi.

Ukiwa hai ndio unaweza kuwa na hofu ya kifo.

Hofu ya kifo ipo kwenye uhai. Pia ipo ukiwa hai.

Ukisha kufa, umekufa huwezi kuhisi chochote au kuwa na hofu ya aina yeyote ile.

Kwa hiyo, Death is peace.
 
Kwasababu ya wanasiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ