Kwanini tunakula asubuhi baada tu ya kuamka?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Mtu unakula ugali mkubwa na nyama usiku kisha unalala ukiamka tena asubuhi unakula mlo mwingine, hii ni sawa kweli au Dr. Janabi yuko sahihi?
20241008_185300.jpg
 
Doctor yupo sahihi, hasa kwa wale wasiokuwa na shughuli usiku...

Lakini, kama mtu umekula chajio saa moja jioni, na wakati huohuo, unapaswa uingie night shift mpaka asubuhi, wallah lazima njaa uwe nayo asubuhi!!

Ila wengi wakiamka asubuhi, wanafanya kwanza shughuli, mfano shambani, alafu kwenye saa nne hivi, ndio wanakunywa chai!
 
Mtu unakula ugali mkubwa na nyama usiku kisha unalala ukiamka tena asubuhi unakula mlo mwingine, hii ni sawa kweli au Dr. Janabi yuko sahihi?
View attachment 3119542
Hebu jaribu basi usile. Lala bila kula na ukiamka usile kama hatujakukuta zahanati ya jirani umetundikiwa drip ya Dextrose 10%.

Janabi Janabi!! Mbona mna mpa umuhimu kihivyo?? Yeye mwenyewe mgonjwa tu yule
 
Ukimsikiliza na kufuata maelekezo ya Janabi umekwisha.Kwani ukila ugali na nyama asubuhi utakufa?Aache makatazo mengi kama mganga wa kienyeji.
Aliwahi kuleta hoja kwamba watu wasinywe juisi ya matunda halisi, mfano machungwa.

Wengi sana tulicheka na kusema kwanini na wakati juisi ya matunda halisi ndio sahihi na ina vitamin original?

Baadaye alivyoeleza, wote tukabaki tunakubaliana naye....

Alieleza kwamba, ili kupata halisi walau inayojaa glasi moja, unapaswa kukamua machungwa si chini ya matano.... Sasa ukinywa glasi mbili asubuhi, mbili mchana na mbili jioni, jumla sita maana yake siku moja unakuwa umekula takribani machungwa 30 😁

Sasa baada ya mwezi si unakuwa unekula shamba zima? 😁 Na wakati mwili unahitaji nusu kipande tu cha chungwa!
 
Mtu unakula ugali mkubwa na nyama usiku kisha unalala ukiamka tena asubuhi unakula mlo mwingine, hii ni sawa kweli au Dr. Janabi yuko sahihi?
View attachment 3119542
Aliokwambia kila mtu analala usiku nani? Wengine wanapiga shift viunoni kwa mishangazi ndio ajira zao wengine wako lindo usiku. Sio kila mtu akila usiku analala tu
 
Hebu jaribu basi usile. Lala bila kula na ukiamka usile kama hatujakukuta zahanati ya jirani umetundikiwa drip ya Dextrose 10%.
Na ukiendelea kula ugali usiku halafu asubuhi unaamkia chai, supu au mtori chapati kiribatumbo hakitakuacha na mishavu yako itaendelea kuwa mikubwa kama unapuliza moto.
 
Aliwahi kuleta hoja kwamba watu wasinywe juisi ya matunda halisi, mfano machungwa.

Wengi sana tulicheka na kusema kwanini na wakati juisi ya matunda halisi ndio sahihi na ina vitamin original?

Baadaye alivyoeleza, wote tukabaki tunakubaliana naye....

Alieleza kwamba, ili kupata halisi walau inayojaa glasi moja, unapaswa kukamua machungwa si chini ya matano.... Sasa ukinywa glasi mbili asubuhi, mbili mchana na mbili jioni, jumla sita maana yake siku moja unakuwa umekula takribani machungwa 30 😁

Sasa baada ya mwezi si unakuwa unekula shamba zima? 😁 Na wakati mwili unahitaji nusu kipande tu cha chungwa!
Elimu ya Janabi ni nyepesi sana, huenda wabongo wengi wana vichwa vizito tu.
 
Aliokwambia kila mtu analala usiku nani? Wengine wanapiga shift viunoni kwa mishangazi ndio ajira zao wengine wako lindo usiku. Sio kila mtu akila usiku analala tu
Ukifanya shift viunoni kwa mishangazi wala hutumii nguvu nyingi sana.
 
Inategemea na shughuli zako

Janabi huwa anawalenga watu ambao wameajiriwa Kama yeye ambao hukaa ofisini bila kutoka jasho.

Binafsi Mimi wakati nafanya Kazi za kukaa ofisini tu .

Nilikuwa nakula mlo Kama huo anaoshauri janabi.

Ila nilipojaribu harakati za mizunguko ya hapa na pale unaondoka saa 11 na kurudi saa tano usiku

Lazima ule milo hadi minne.

Matumizi ya chakula yanategemea na ufanyaji wako wa Kazi .

Ni sawa na kuweka mafuta katika gari hauwezi mafuta ambayo hayatakufikisha destination.
 
Back
Top Bottom