Kwanini tunapenda kuigana?


Shit, can’t really avoid the hood that much coz that’s where you get that aunthetic jerk chicken....

Them hole in the wall type of joints is where you can get some of the best food in town.

You go to the counter and take a peek back in kitchen and you see the chef grilling the meat with a Glock tucked in his wait hahahaaa.

Gotta love the hood man!



It’s Dat Fire jerk chicken.....best damn jerk chicken period!!

 
Hivyo vitu unique unavitoa wapi bro..Unless uwe mbunifu mwenyewe
Vipo vingi sana.


Sema watanzania ni wavivu wa kufanya utafiti wenyewe.

Kuna brand fulani ya viatu nna uhakika hakuna mtanzania anayeishi tanzania anakivaa au ameshawahi kukiona.
 
Vipo vingi sana.


Sema watanzania ni wavivu wa kufanya utafiti wenyewe.

Kuna brand fulani ya viatu nna uhakika hakuna mtanzania anayeishi tanzania anakivaa au ameshawahi kukiona.
Thanks.
 
Hizo picha ndio 'uswazi' yenu?
 
Waswahili tuna msemo usemao 'kizuri kula na nduguyo' hivyo kuiga kizuri cha nduguyo ni hulka yetu
 
Kuna jirani yangu hapa ni binti, kila nikiingia na kufurushi lazima aje aangalie ni nn na km ni kifaa flani lazima ajue ni shilingi ngapi nimenunua
 
Kwenye furniture za ndani sioni tatizo
Tatizo ni kwenye nguo ,unakumbuka enzi za makenzi ?
Na magari dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…