Kwanini tunapotumia Simbanking kupitia Airtel tunakatwa Tsh. 100?

Kwanini tunapotumia Simbanking kupitia Airtel tunakatwa Tsh. 100?

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Inaumiza sana wakati mwananchi akitumitumia muhamala kupitia simbanking ya airtel unakatwa shillingi 100.

Mara nyingi mtandao unaweza kugoma au umekosea lakini unapotaka kurudia makato ni shillingi 100 kila shughuli utakayofanya.

Naomba Serikali iliangalie suala hili na wananchi tunaumia sana kwa kila shughuli inayofanyika kutumia simbanking tunakatwa shillingi 100.
 
Ni kitu flani Cha kipuuzi sana naa mara nyingi mtandao unasumbua na husuma haijafanikiwa ila inakuwa umeliwa
 
Back
Top Bottom