Mr Brown Mzungu
Member
- Jun 10, 2020
- 11
- 15
Nimejaribu kuangalia kwenye ripoti mbalimbali za kiserikali (Wizara ya Fedha) na Benki Kuu Ya Tanzania n kugundua kwamba, katika kipindi cha miaka mitano 2015/16- 2019/20 serikali imeshindwa kabisa kujinasua hasa utekelezaji wa bajeti. Ukiangalia ripoti hizo kiwango cha juu cha utekelezaji ni asilimia 67 ya fedha zilizopitishwa na Bunge.
Hii ina maanisha kwamba badala ya kutumia 32 trillion tunatumia 22 trillioni (estimates). Miaka ya nyuma bajeti ilikuwa ikitekelezwa kwa asilimia 80 na zaidi ambapo wamekuta 29 trillion na zilikuwa zinakusanywa hizo hizo trilioni 18-19 za kodi na mapato kwa mwaka na wafadhili trilioni zaidi ya tano.
Sasa hivi mapato yote, pamoja na mageuzi ya awamu ya tano, kuongezeka kwa shughuli za uchumi (na kuanguka kwa nyingine pia) na total economic expansion, bado makusanyo ni yale yale kama awamu ya nne. (Zaidi angalia BOT website,)
Sasa najiuliza.
1. Huku kujinasibu kwa serikali ya wamu ya tano mbona ni kwingi kuliko tunayoyasoma. Hii tunaaminishwa kitu gani?
2. Kama wanakusanya kuliko serikali zote zilizopita, mbona utekelezaji wa bajeti ni chini ya asilimia 70 kama zamani?
3.Sekta ya viwanda imekuwa ikipigiwa chepuo, mbona mchango wake ni ule ule tangu awamu ya nne, pamoja na maelfu ya viwanda vya charahani?
4. Kama mambo mazuri, mbona watanzania wengi wanapoteza kazi na kuathiri mfumo wa mapato ya serikali kupitia PAYE?
5. Kama serikali inabana matumizi, mbona imaonyesha mishahara, marupurupu kwa watumishi wa serikali yanaongezeka kwa kasi.
Naweza kumalizia kwamba, Hii Awamu ya Tano ni kama inajenga ghorofa kwa msingi wa udongo. Yaani mbwembwe kibao harafu wasomi wanasema uongo. CHEAP