The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
hio ni English ya wapi ?Alikuwa ni kijana wa YUVISISEMU ila leo naona kawa Naibu Waziri
We dont who she is ila kwa sasa ni decision maker
hio ni English ya wapi ?
Hiyo hiyo ipiZamani ipi?
Wewe una umri gani? Umri wangu unakuhusu nini?Una umri gani?
jamaa anauliza maswali ya kitoto sanaWewe una umri gani? Umri wangu unakuhusu nini?
Ni kweli. Hasa kwa watoto japo ni ya kiutu uzima kwa watu wazima.jamaa anauliza maswali ya kitoto sana
Hatari kweli kweli labda tumuulize secretarybird anasemaje kuhusu hili
Uliza mkuu, Niko hapa 😀.Hatari kweli kweli labda tumuulize secretarybird anasemaje kuhusu hili
Mada ya father of all ndo inayoongelewa mtazamo wako ukojeUliza mkuu, Niko hapa 😀.
Watawala wa siku hizi hatuwajui labda kwa sababu wanawekwa pale Ili wagawane maslahi na wale wanaowaweka.Mada ya father of all ndo inayoongelewa mtazamo wako ukoje
Noma kweli kweliWatawala wa siku hizi hatuwajui labda kwa sababu wanawekwa pale Ili wagawane maslahi na wale wanaowaweka.
Ni balaa tupu mkuu.Noma kweli kweli