Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
kusoma kuandika na kuesabukkk linakujaje hapa hili suala
Sio wote wanatumia majina bandia humuSalaam kubwa wana MMU baada ya kufanya mazoezi ya kuandika thread hatimaye nimeandika...
-hivi ilitokeaje mpaka wote tukawa tunatumia majina bandia
hili jambo limekuwa likinitatiza hebu nisaidieni
We hilo jina ni lakwako? Kama sio lako kwanini unatumia fake?
Tuanzie hapo kwanza
Sio wote wanatumia majina bandia humu
Hahahahaaaa hivi unajua kwamba @nifah ndio jina langu halisi?binafsi mimi jina la id yangu ndiyo hilo hilo ambapo nilipozaliwa niliitwa clever na bahati nzuri baba yangu nae kumbe anaitwa bright hivyo automatically nikawa Mr. clever bright ila ni humu tu jamvini ndiyo nimeyaunganisha. ila kuna majina kama ya @nifah nina uhakika 100% kuwa siyo majina yao halisi halafu sijui ni kwanini watu humu wanapenda kuyaficha majina yao ya ukweli na vile wanapenda kuwa na id's nyingi nyingi. wangeniiga mimi ingependeza mno kwani natumia jina halisi na nina id hii hii moja tu.